RAIS wa Shirikisho la Soka Nchini TFF,Jamali Malinzi amesema kuwa TFF inawajibu wa kujipanga ili kuhakikisha timu ya taifa ya vijana wa U-17 inafanya vizuri katika michuano ya Afrika iakayo anza mwakani.
Kauli ya Malinzi imekuja saa chache toka timu ya Taifa ya U-17 ikubali kulala kwa goli 3-1 dhidi ya Burundi katika mchezo wa kirafiki
Post a Comment