DR SLAA AMLIPUA MCHUNGAJI GWAJIMA

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>




Aiyekuwa katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilbroad Slaa, amefunguka juu ya kauli ya mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima, baada ya kusema kuwa anachokifanya kwa sasa rais Magufuli ndio wananchi walikuwa wanakihitaji kwa muda mrefu

Dr Slaa amesema mchungaji huyo ni mnafiki kwa kuongea kauli kama hizo mbele ya waumini wake kwani hapo awali kipindi cha kampeni alikuwa ana muunga mkono Edward Lowassa na kufika hatua ya kuitwa mshenga wake, na kuongeza kuwa mchungaji huyo anabadilika kama kinyonga.



FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top