DAR ES SALAAM.
SIRAHISI kujua nini hasa kilichokuwa kinazungumziwa miongoni mwa viongozi hawa,ila huenda kwa kufikiri ikawa ni mikakati juu ya namna bora ya utendaji kazi wa Serikali wanayoisimamia.
Rais Dr John Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kasimu jana walimtembelea Makamu wa Rais Mhe Samia Hassani ofisini kwake na kuzungumza mawili matatu kabla ya viongozi hao hawajaagana na Mhe Samia kurejea maofisini mwao.
Post a Comment