Msanii Mchenguaji katika medani ya Hip Hop Nash Mc yupo mbioni kuachia ngoma yake mpya iitwayo Maalim Ponda.
Ngoma hii inapatikana katika Ep yake ya MCHOCHEZI.
mtanganjia.blogspot.com
Wimbo huo unatarajiwa kutoka siku ya Ijumaa wiki hii. Pia ikumbukwe pia ni siku kadhaatu zimepita tangu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aliyekuwa akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi baada ya mahakama kutoridhishwa na ushahidi wa upande wa mashtaka na hivyo kuonekana hana hatia.
mtanganjia.blogspot.com FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>
Post a Comment