Wakati ndoa nyingi zikifungwa na kuvunjika muda mfupi baadaye duniani,sio hivyo kwa Herbert na Zelmyra Fisher wa James City N.C. Zelmyra na Herbert Fisher wameoana tangu 13 May 1924. Herbert na Zelmyra Fisher wanasema kwamba siri ya ndoa yao kukaa sana ni Mungu na Kanisa
Herbert and Zelmyra Fisher, wa New Bern, North Carolina, wakisimamia kiapo chao cha ’Mpaka kifo kitutenganishe’. Wangesheherekea siku yao ya 87 tarehe 13 Mei 2011 katika ndoa kama mmoja wao asingefariki .

Wakiwa wameoana tangu 1924, walitambuliwa rasmi kama wana ndoa wakongwe duniani na “Guinness Book of Records” mwaka 2008 baada ya kutimiza miaka 84
Bwana Fisher alifariki tarehe 27 Februari 2011 katika umri wa miaka 105
[starreviewmulti id=0 tpl=31]
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>
Post a Comment