Wiz Khalifa kuachia album yake mpya ‘Cabin Fever 3’ mwaka huu.

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>

Wiz Khalifa ameweka pembeni album yake mpya Rolling Papers 2 nakutanga rasmi kuwa anatoa mixtape mpya kwanza na album ndio itafata.
Wiz ametangaza kuwa mixtape yake ya Cabin Fever 3 inatoka hivi karibuni na nimuendelezo wa Cabin Fever 2 ya mwaka 2012 aliyofanya na wasanii  Juicy J, Problem, French Montana, na Chevy Woods. Cabin Fever yakwanza ilitoka 2011.
Album ya Rolling Papers 2: The Weed Album inatoka mwakani.
Mtanganjia Blog
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top