Nikki Mbishi Atafuta Meneja

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>


Msanii wa Hip Hop Nchini Nikki Mbishi ametoa rai kwa mtu yoyote mwenye vigezo vyake kuweza kujitokeza na kuwa meneja wake atakaye simamia kazi zake.
Nikki Mbishi aliandika maneno haya kupitia mtandao wake wa facebook.

"Nilisign na 
‪#‎MLAB‬ 2009,baada ya kutoka kwenye ‪#‎FreestyleMcShujaa‬ 2008 na  baadaye ‪#‎KilimanjaroFreestyleMcShujaa‬ ilioandaliwa na @cloudsfm chini ya ‪#‎DjFetty‬ ‪#‎NchaKali‬ na ‪#‎AdamMchomvu‬ na hiyo pia ni baada ya kushiriki matamasha kama ‪#‎WAPI‬#B-Connected ‪#‎SpriteMcAfrica‬ n.k.
26th November 2011,chini ya #MLab label iliyosign wasanii kama ‪#‎BenPol‬ ,‪#‎OneTheIncredible‬ , ‪#‎GraceMatata‬ ,‪#‎Stereo‬ ikiwa chini ya ‪#‎Duke‬‪#‎PatrickGondwe‬ na Media Kings kwa ujumla nilifanikiwa kutoa album yangu ya kwanza "SAUTI YA JOGOO" iliyokuwa na tracks kama ‪#‎Punchlines‬‪#‎Kilasiku‬ ‪#‎PlayBoy‬ ‪#‎Au‬ ‪#‎SautiYaJogoo‬ n.k achilia mbali kazi nilizowahi kushiriki e.g ‪#‎Classic‬ ‪#‎Hisia‬ n.k
Mkataba ulikuwa miaka mitatu,hivyo mpaka 2012 ulikwisha na hakukuwa na means ya kurenew hivyo wasanii ilibidi tuanze kujitegemea.
Nilianza harakati zangu nikiwa mwenyewe yaani bila management tena nikifanya kazi katika mazingira magumu kuanzia studio sessions,usambazaji kazi,promotion na vyote vihusuvyo muziki wangu.
October 12th,2013 nilitoa "MALCOLM XI" the mixtape ambayo licha ya ugumu wa maandalizi yake naweza kusema ilifanikiwa kimauzo kuliko hata "SAUTI YA JOGOO" yenye hits nyingi,kufuatia ‪#‎CONTROVERSIES‬zilizosheheni kwa kipindi hicho ikiwemo track kama ‪#‎NeyWayMitego‬‪#‎DakikaMbili‬ ‪#‎PesaKwanza‬ ‪#‎YoteSawa‬ ‪#‎AKA‬ na nyinginezo.
Kazi iliendelea nikiwa nauza nakala zangu,merchandise kama Tshirts na kuandaa shows chache mikoani.
Mpaka July 30th 2015 nikiwa bado sina usimamizi wa kazi zangu nilifanikiwa kutoa album yangu ya pili yaani "UFUNUO"
Iliyobeba tracks kama ‪#‎UtamwambiaNini‬ ‪#‎NatokaTanzania‬ #ExcuseMeMiss #Michepuko #Alhamdulillah #ToastToLife #Jah #SaaHii #Indebe #Tulia n.k
#LENGO :Maelezo yote hayo yana lengo la mimi kujitokeza mbele yenu enyi wadau wenye Passion,Patience and Persistence (Triple P),kwa kujua na kutambua kuwa nia,uwezo,ari na #KIPAJI ninacho na pia muziki ni kazi,ajira na biashara ambayo inaweza kutoa fursa kwa pande 3 yaani management,artist na jamii kwa ujumla.
Hivyo basi nahitaji mtu mwenye sifa au vigezo tajwa ajitokeze ili tufanye kazi kiurafiki na kibiashara pia kwa kuzingatia terms and conditions tutakazojiwekea ili ziwe mwongozo wa kiutendaji na kimaslahi.
So far,A manager is needed as soon as possible.
N.B:Manager is just a supervisor to me na sio boss wa kunipa au kunitolea hela ya work expenses,cha msingi awe na exposure yaani kufahamiana na watu na kuwa na mahusiano mazuri nao pia aweze kudedicate muda wake kwa dhati katika kusimamia kazi ikiwemo na kutafuta michongo pia (Deal Seeker).
Milango iko wazi na yeyote anakaribishwa
Aliye tayari apige +255786655677
#SeriousIssue kama mtu wa mzaha usisumbuke tafadhali.
Yours Truly,Nikki Mbishi."



Mtanganjia Blog
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top