Home
»
BURUDANI
»
KASSIM MGANGA AELEZEA SABABU MBILI ZA KUCHELEWA KWA VIDEO YAKE YA SUBIRA
BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>
DAR ES SALAAM
Baada ya kimya kirefu kwa Nyota wa Muziki wa Bongo fleva Kassim Mganga A.K.A tajiri wa Mahaba, leo hii amechia video ya ngoma yake ya “SUBIRA” ambayo kwa mujibu wa maelezo yake amesema imegharimu fedha kidogo ila yaliyomo na ubora wa video hiyo ni wa hali ya juu.
Mganga amesema video hiyo igekuwa imeshatoka mapema mwaka huu mara baada ya kuachia ‘AUDIO’ yake lakini lakini kulingana na hali ya masuala ya uchaguzi mkuu alilazimika kusubiri mpaka vuguvugu hilo litakapo malizika.
Hata hivyo mbali na Uchaguzi mkuu Mganga ametoboa siri kuwa video hiyo ni ya pili ya kwanza aliikataa kwakuwa ilikuwa ina mapungufu kadhaa ya matukio ya picha hivyo kulazimika kuanza kuiandaa upya jambo lililo pelekea kuchelewa kuiachia video hiyo.![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vB0w_SJp7uGKUw-x7-Rjj7LepAsFA5A5-D4v6ClizsT6w0BwQcap3oO1opY-G3knM6OD-IfhAJ6PaUXDnkQdGaa9KTgvHkeTrtPnLrsg4r8BdHaYiOiwPOGn_fGjYw-W-WHj2y1OBO1Wo2drPXf8Iqn3vn94De6X55pYUO4_kC8Fz_Kw4nqlU=s0-d)
Video hiyo imeandaliwa na Adam Juma na maeneo yaliyotumika moja wapo ni Ununio Dsm na Bagamoyo, Baada ya video hiyo kassim Mganga ameahidi kuachia kazi nyingine matata mwanzoni mwaka ujao
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>
Filed Under:
BURUDANI
on Friday, 27 November 2015
Post a Comment