Album mpya na yatatu ya mwanamama Adele iliyopewa jina ’25’ imetangazwa rasmi na Billboard kuwa imeuza kopi milioni 2.3 ndani ya siku zake tatu sokoni.
Billboard wanategemea albu hii itauza kopi milioni 2.9 mwishoni mwa wiki. Rekodi hii ilikuwa inashikiliwa na kundi la NSYNC na album yao ya No Strings Attached iliyouza kopi milioni 2.4 mwaka 2000. 25 imetoka November 20, 2015 . Mpaka sasa wimbo wake wa Hello umetazamwa na watu milioni 300 YouTube.
Post a Comment