Ni mechi ya La Liga, usishangae, Real Madrid imeshinda kwa mabao 10-2 dhidi ya Rayo Vallecano.
Washambuliaji watatu wa Madrid, Gareth Bale, Karim Benzema na Cristano Ronaldo maarufu kama BBC, wamefunga mabao 9 kati ya hayo 10.
Bale amefunga manne, Benzema akatupia hat trick na Ronaldo akafunga mawili, huku moja likifungwa na Danilo.
Real Madrid:
Navas, Danilo, Pepe, Ramos, Marcelo (Vazquez 62), Kroos, Modric, Rodriguez (Kovavic 65), Ronaldo, Benzema, Bale (Arbeloa 74).
Subs not used: Casilla, Nacho, Casemiro, Isco.
Goals: Danilo 3, Bale 25, 41, 61, 70, Ronaldo 30, 53, Benzema 48, 79, 90
Booked: Danilo
Rayo Vallecano:
Yoel, Tito, Ze Castro (Cabellero 80), Amaya, Nacho, Baena, Trashorras, Bangoura (Bebe 63), Jozabed, Pablo Hernandez (Quini 21), Javi Guerra.
Subs not used: Corral, Dorado, Manucho, Embarba.
Goals: Amaya 10, Jozabed 12
Booked: Nacho, Trashorras
Sent off: Tito, Baena
Referee: Ignacio Iglesias Villanueva
Attendance: 61,564
Post a Comment