Rapa kutoka Marekani Mos Def Aka Yasiin Bey ameonekana Victoria Island, Lagos nchini Nigeria huku pakiwa na uvumi kuwa anampango wa kuhamia nchini humo. Taarifa zinasema Mos Def alikuwa Lagos akiangalia mahali pazuri pakuishi kama atahamia kabisa na familia yake nchini Nigeria.
Mos Def amekuwa akiishi Cape Town, South Africa kwa muda wa zaidi ya miaka miwili na hajaonekana kuwa na mpango wa kuondoka Africa na kurudi Marekani.
Post a Comment