LINEX NA ADAN JUMA NDANI YA BIFU ZITO | KISA NI HIKI HAPA >>>

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>

Msanii wa bongo fleva Linex Sunday Mjeda (LINEX), ameendelea kusema kuwa alichofanyiwa na Muandaaji wa video ya wimbo wake wa “SALIMA”Adam Juma hakikumrudhisha na kutamka kuwa mpaka sasa hataki mazoea na yeye.

Akihojiwa na moja ya kituo cha televisheni nchini Linex alisema kabla ya kuanza kuiandaa video ya “SALIMA” Adam Juma aliulizwa ni kiasi gani anahisi akipewa kinaweza kutosha kuikamIlisha video ile na kufanikisha kupigwa kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya afrika mashariki, Kwa Mujibu wa Linex Adam Juma alidai kupatiwa shilingi milioni 5, na zili lipwa taslimu.

Adam juma

Linex alibainisha kuwa licha ya kukamilisha malipo yote na kumfanya kuwa msanii wa kwanza Tanzania kumlipa Adam Juma kiasi hicho kikubwa cha fedha,  lakini Muongozaji huyo alishindwa kuindaa video ya“SALIMA” katika ubora wa kimataifa na  kuifanya video hiyo kuonekana inabebwa na sauti pekee yaani “AUDIO” jambo lililoplekea video hiyo kukatiliwa na na baadhi ya vituo vya televisheni za nje.

Kitendo hicho kimemfanya Linex kuendeleza kauli yake kuwa Adam Juma alimfanyia utani katika kazi yake na kuongeza kuwa bado ana kinyongo na Muongozaji huyo.

FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top