MKALI wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno,Cristiano Ronaldo hana msimu mzuri katika klabu yake kutokana na kiwango chake cha sasa kutoweza kuisaidia tiimu hiyo kufanya vizuri katika michezo mbalimbali.
Nyota huyo anayechuana na mshambualiji wa Barcelona Lionel Messi katika tuzo mbalimbali amejikuta yupo katika hali ngumu juu ya picha tata alizozipiga nchini Morocco hivi karibuni akiwa na rafiki yake.Chanzo cha karibuni na mwanasoka huyo mahiri dimbani zinasema kuwa toka Ronaldo aanze urafiki na ‘mshikaji’ raia wa Morocco amekuwa na muonekano wa utofauti na awali,huku ikisemekana kuwa Ronaldo hutenga kiasi kikubwa cha pesa ili kuhakikisha kila wiki apatapo nafasi anasafiri kumfuata Morocco.
Aidha hali hiyo imeanza kuzua utata katika klabu yake,ambapo inasemekana Rais wa Madrid Florentino Perez amemtaka mwanandinga huyo kuacha kusafiri mara kwa mara ili kupata muda wa kujiweka sawa na mikimikiki ya ligi kuu.
Hata hivyo picha zaidi zinaonyesha Ronaldo akifanya matendo yanayoshabihiana na kinyume cha jinsia yake na nyingine zikimuonyeshwa amebebwa mithili ya wanandoa katika Harusi
Swali je hii ndiyo sababu ya kiwango cha Ronaldo kushuka msimu huu?
picha nyingine ni pamoja na hii
picha nyingine ni pamoja na hii
Post a Comment