LA LIGA LEO KUWAKA MOTO, RATIBA ZA MECHI ZOTE HIZI HAPA

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>
Ligi kuu Hispania maarufu kama Spanish La Liga leo itaendelea kupigwa huko huku vilabu vikongwa na pinzani vya Real Madrid pamoja na Barcelona navyo vitashuka uwanjani kutafuta ushindi wakati vitakapokabiliana na timu nyingine za ligi hiyo.
Kikubwa na cha pekee hapa mechi za La Liga unaweza ukazingalia nyumbani kwako ukiwa umetulia vizuri kupitia Azam TV kwa channel yao ile ya Azam Sports HD.

Nilichofanya  ni kukupa ratiba ya mechi zote za La Liga zitakazopigwa leo, usipitwe na mechi za La Liga leo.
la liga
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
USISAHAU KUTEMBELEA mtanganjia.blogspot.com KILA SIKU KUPATA HABARI ZA KIMATAIFA ,MICHEZO,MUZIKI NA BURUDANI

FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top