DIAMOND AMLETA TANZANIA GODFATHER KUSHOOT KAZI ZAKE MPYA

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>
12298834_430293703831416_1645961294_n
Diamond Platnumz ameamua kumleta muongozaji wa video zake, Mike Ogoke maarufu kama Godfather na timu yake kuja kufanya video zake jijini Dar es Salaam.
12298834_430293703831416_1645961294_n
Diamond akiwa na msaidizi wa Godfather, Mike Dube jijini Dar
Muongozaji huyo na timu yake ipo jijini Dar kwa siku ya tano tayari na siku zote hizo imekuwa ikifanya kazi. Ofcourse Diamond na Godfather hawajasema chochote kuhusiana na hilo lakini msaidizi wake Mike Dube ameumwaga ubuyu.
Kwenye Instagram, Dube amepost picha ya pontoni la kuelekea Kigamboni na kuandika: “@i_am_godfather, @diamondplatnumz Taking a vessel to set! #musicvideo #tanzania #diamondplatnumz #godfatherproduction.”
Kama unamfollow Diamond utagundua kuwa juzi alipost kipande cha video akiwa kwenye gari lake wakiingia kwenye pantoni hiyo na anasikika akiwauliza wageni wake kama wameipenda Tanzania.
Dube pia amepost picha nyingine akiwa na Diamond na Harmonize pamoja na wanawake watu wazima wawili na kuandika, “Tanzania day 4 @diamondplatnumz, @i_am_godfather, @shettatz #musicvideo.”
Hii ni mara ya kwanza Diamond kumleta Tanzania muongozaji wa video kutoka nje ya Tanzania kuongoza video zake.
Kuna taarifa kuwa Godfather anashoot video ya Diamond pamoja na za wasanii wake, Harmonize na Raymond.
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top