AGIZO LA MAGUFULI LAINGIZA BILION 5 BENKI

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>


ZIKIWA zimepita siku kadhaa toka Rais Dr John Pombe Magufuli kutangaza kuwa ametoa siku saba kwa makampuni na wafanyabiashara waliokuwa wanadaiwa kodi kuwa wawe wameshalipa kodi zote vinginevyo sheria ingechukua mondo wake,hadi kufikia leo jumla ya makampuni 4 yaliyokuwa yamekwepa kodi wamelipa madeni yao.
Taarifa kutoka TRA zinasema kuwa makampuni hayo yamelipa jumla ya bilioni 5.23 huku ikisemekana kuwa huenda pesa hizo zikaongezeka zaidi kuanzia leo kwani zimebaki siku 4 tu ili kufika siku saba alizota Magufuli.
Magufuli juzi wakati akizungumza na wawakilishi wa sekta binafsi na wafanya baishara alisema kuwa pamoja na kwamba Serikali yake itatoa ushirikiano wa kutosha kwa wawekezaji wa ndani na wafanyabiashara wa ndani,hatakuwa na simile katika kuwadai kodi kwani bila kufanya hivyo atashindwa kuendesha Serikali
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
USISAHAU KUTEMBELEA mtanganjia.blogspot.com KILA SIKU KUPATA HABARI ZA KIMATAIFA ,MICHEZO,MUZIKI NA BURUDANI

FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top