Hawa ndio wachezaji watano wanaowania tuzo ya BBC ya Mwanasoka bora wa Afrika wa mwaka huu 2015.
Wachezaji hao ni:
1. Pierre-Emerick Aubameyang - Gabon na Borussia Dortmund (Ujerumani)
2. André Ayew - Ghana na Swansea City (Uingereza)
3. Yacine Brahimi - Algeria na FC Porto (Ureno)
4. Sadio Mané - Senegal na Southampton (Uingereza)
5. Yaya Touré - Ivory Coast na Manchester City (Uingereza)
Kwa sasa upigaji kura umefungwa.
Mshindi atatangazwa tarehe 11 mwezi Desemba.
Walioshinda Tuzo ya Mwanakandanda Bora wa Afrika wa Mwaka kwa miaka iliyotangulia ni:
Yacine Brahimi (2014);
Yaya Touré (2013);
Christopher Katongo (2012);
André Ayew (2011);
Asamoah Gyan (2010).
Post a Comment