LOWASSA ATAKA POLISI WAWAJIBISHWE KIFO CHA MAWAZO, | SOMA HAPA KUJUA SABABU

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimelitaka jeshi la polisi kuwachukulia hatua watuhumiwa wanaodaiwa kumuua aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo, endapo jeshi la polisi likashindwa kufanya hivyo chama kitachukua hatua chenyewe,
Akitoa salamu za rambirambi Lowassa katika ibada ya kuaga mwili wa mawazo katika uwanja wa furahisha jijini Mwanza amesema polisi wasipochukua hatua kwa waliomuua Mawazo watachukua hatua wenyewe,
Baada ya Mahakama kuu kanda ya Mwanza kutoa haki kwa familia na chama hicho kumuaga Mawazo, imeonekana jeshi la polisi halina intelijensia wanayo dai wanafanya,Lowasa amesema hukuma ya jaji Lameck Mlacha wa Mahakama kuu, iwe somo kwa polisi watanzania, kutokana na kujawa wivu usio fahamika.

FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top