![](https://z-1-scontent-lhr3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/t1.0-9/12311128_889928917743178_1818993169989163077_n.jpg?oh=f9c6f2b12b3a1a086dfce827d5bb65f1&oe=56F85DD1)
Lionel Messi amerudi kwa kishindo na Luis Suarez kafunga mawili katika mechi ya Ligi ya Mabingwa.
Luis Suarez amefunga magoli mawili na pia akatengeneza mawili mengine kwa Lionel Messi katika mechi yake ya kwanza tangu arudi kutoka kuwa majeruhi wakati Barcelona ilipoishushia kipigo Roma
Gerard Pique na Adriano nao pia walifunga huku Edin Dzeko, aliyeshuhudia penati yake ikiokolewa, akifunga bao la kufutia machozi kwa timu yake ya AS Roma.
Barca wamepita kwenda hatua ya 16 bora wakiongoza kundi E wakiwa na pointi 13, nane (8) zaidi ya Bayer Leverkusen na Roma FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>
Post a Comment