Kundi la Weusi limejitolea kusaidia kukuza vipaji vya vijana watatu watakaojitokeza na kukidhi vigezo vinavyohusika.
"Guy's sisi Kma wEUSi c.o tumeamua kusaidia vipaji ambavyo vipo mtaani so kama unajijua we unakipaji cha kuimba tunatoa nafasi kwa vijana watatu (3)tu kwa mawasiliano na Taarifa zaidi tukutane inbox"
Post a Comment