Serikali imewataka watumishi wa umma kuvaa vitambulisho vyao vya kazi wanapokuwa sehemu zao za kazi, ili kurahisisha kutambulika kwao endapo watakiuka maadili ya kazi kwa kutotoa huduma stahiki kwa wananchi.
Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amewataka watumishi wote serikalini kuvaa vitambulisho na kuongeza kuwa licha ya kubaini wanao kiuka maadili ya kazi pia itasaidia kuongeza ufanisi wa kazi kwa mustakabali wa taifa, kinuyume na ilipokuwa hapo awali, pia itasaidia kupunguza matapeli ambao watajtokeza na kujifanya ni wafanyakazi wa eneo husika.
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>
Post a Comment