RUNGU LA MAGUFULI LAANGUKIA SHULE BINAFSI, SOMA KUJUA AGIZO LA SERIKALI

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>


Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada kwa mwaka 2016, mmiliki wa shule atakae kiuka hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake, hii ni baada ya kugundulika kuwa kuna shule zisizo za serikali zimekuwa zikiongeza ada kila mwaka pasipo kupata kibali cha kamishina wa elimu.
Katika taarifa hiyo Profesa Mchome amesema utamaduni huo wa kuongeza ada kila fikapo mwishoni mwa mwaka umekuwa ukisababisha usumbufu mkubwa kwa wazazi na walezi na hata baadhi yao kushindwa kuendelea kusomesha vijana wao katika baadhi ya shule.
Taarifa hiyo imesema kuwa ada zote kwa shule zisizo za serikali zitabaki kama zilivyo idhinishwa na kamishina wa elimu, wamiliki wa shule hizo wametakiwa kuwasilisha taarifa kwa msajili wa shule aliyeko idara ya ithibati ya shule inayo eleza kiasi cha ada kinachotozwa kwa sasa na tarehe shule kutoka kwa kamishina wa elimu.

FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top