Msanii Stereo amempongeza mwenzie Wakazi kwa kuchaguliwa kuwania tuzo ya msanii bora Hip Hop ya Kora mwaka 2015. Kupitia mtandao wa Facebook Stereo aliandika kama haya
''
Wakazi (Tanzania) has been nominated for the 2016 Kora Awards as "Best Hip Hop Act" alongside K.O (South Africa), Sarkodie (Ghana), Stanley Enow (Cameroon), Hamzaoui Med Amine (Tunisia) & Kiff No Beat (Cote D'voire). The Award Ceremony will take place in Windhoek, Namibia on March 20th 2016.
#Hongera @wakazimusic kwa kuchaguliwa kuwania tunzo na kuiwakilisha Tanzania. Nakutakia kheri na ushindi. Tuko pamoja hommie."
wakazi
Rapper wakazi atachuana na wasanii wengine w Africa wakiwemo K.O kutoka Africa ya Kusini, Sarkodie kutoka Ghana,Hamzaoii Med Amine wa Tunisia,Kiff No Beat wa Ivory Coast na Stanley Enow wa Cameroon
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
USISAHAU KUTEMBELEA mtanganjia.blogspot.com KILA SIKU KUPATA HABARI ZA KIMATAIFA ,MICHEZO,MUZIKI NA BURUDANI
Post a Comment