RAISI MAGUFULI ATEKA VICHWA MAGAZETI NA MITANDAO YA NCHI ZA NJE

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>


Sasa hivi sio habari mpya tena kuona gazeti au mtandao wa nchi flani maarufu duniani limemuandika Rais Magufuli wa Tanzania, tayari mpaka sasa tumeshaona Magazeti yaAustralia, South Africa, Zimbabwe, Kenya, China, Uganda na Uingerezayamemuandika Dr. Magufuli.
December 9 2015 baada ya Rais Magufuli kuchukua headlines za yeye kufanya usafi,The Telegraph (telegraph.co.uk) wameandika mistari ambayo inaonyesha kabisa kitendo cha Dr. Magufuli kuingia mtaani kufanya usafi kimewagusa na ni tofauti na Waziri mkuu wa Uingereza ambaye sio rahisi kumuona au kufanya alichofanya Dr. Magufuli.
Kwenye sehemu ya stori yenyewe wamenukuu mistari ya Rais Magufuli kusema ni aibu kusherehekea siku ya uhuru Tanzania wakati nchi ina Wagonjwa wa kipindupindu ambapo kwenye taarifa hiyo ziliambatanishwa picha zikimuonyesha Rais JPM akifanya usafi.
magu 3
magu 2
Magu 1
TAZAMA VIDEO YA RAIS MAGUFULI AKIFANYA USAFI HAPA CHINI.
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top