Kaka wa rapa Nicki Minaj ‘Jelani Maraj’ anakabiliwa na kesi ya upakaji wa mtoto mwenye miaka 13.
Mtandao wa PageSix unasema Jelani Maraj alikamatwa Jumanne ya December 1 mjini New York kwa makosa ya ubakaji na uthalilishaji wa kijinsia wa mtoto wa miaka 13.
Rapa Nicki Minaj ametoa pesa kiasi cha dola $100,000na kuweka hati za nyumba zake mbili ili kaka yake kupata dhamani.Kaka yake Minaj alifunga ndoa mweiz wa nane mwaka huu.
Post a Comment