MOURINHO NA MANCHESTER UNITED NYUMA YA PAZIA YAPO HAYA

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>
Untitled-1
Kocha Jose Mourinho amewaambia rafiki zake wa karibu kuwa itakua ngumu mno kukataa ofa ya kufundisha baadhi ya timu (Manchester United) endapo atapata nafasi ya kutakiwa na moja ya timu hizo mara baada ya kutupiwa virago na Chelsea wiki iliyopita.
Presha ni kubwa kwa kocha wa sasa wa Manchester United Louis Van Gaal hasa mara baada ya kufungwa nyumbani wikend hii dhidi ya Norwich katika uwanja wa Old Trafford kitu kilichopelekea bodi kuwa na hisia tofauti huu ya mustakabari wa kocha huyo.
Manchester United imeshinda mechi 3 pekee katika mechi 13 mfululizo hadi sasa huku ikipoteza michezo mitatu mfululizo katika michuano yote mara baada ya kufungwa na Vfl Wolfsburg katika hatua ya makundi klabu bingwa Ulaya kabla ya kufungwa na Bournemouth na Norwich katika ligi kuu England.
Hali si shwari Old Trafford, wachezaji hawana morali, Van Gaal anaweza fukuzwa muda wowote kuanzia sasa na hasa kama atapoteza mchezo wa Jumamosi ijayo dhidi ya Stoke City katika uwanja wa Brittania.
Mourinho ambaye awali alikaribia kuwa kocha wa Manchester United mara baada ya kuondoka kocha Sir Alex Ferguson, lakini wakongwe wakiongozwa na Sir Bob Charlton walimkataa kutokana na kutopenda aina yake ya kubwata hovyo.
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top