Vodacom Premier League imendelea leo kwa michezo mitano kuchezwa kwenye viwanja tofauti vya miji tofauti ya Tanzania.
Mechi zote tayari zimemalizika na matokeo ya mechi zote tayari yapo hadharani huku kukiwa na timu ambazo zimepata pointi tatu, nyingine zimepoteza pointi zote wakazi nyingine zikiambulia pointi moja.
Matokeo ya mechi zote za VPL zilizopigwa leo yako hivi;
Yanga 4-0 Stand United (Uwanja wa Taifa-Dar es Salaam)
Mwadui FC 2-1 Ndanda FC (Mwadui Complex-Shinyanga)
Kagera Sugar 1-0 African Sports (Ali Hassan Mwinyi-Tabora)
Tanzania Prisons 0-0 Mtibwa Sugar (Sokoine Stadium-Mbeya)
Toto Africans 1-1 Simba SC (CCM Kirumba-Mwanza)
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>
Post a Comment