ALIYEKUWA Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa,amesema kuwa wakati taifa linasherekea miaka 54 leo hii ni vema watanzania wakaendelea juhudi za kudai mabadiliko yatakayowatoa katika lindi la umasikini
WAKATI TUNAADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA NCHI YETU, NI LAZIMA KUZIDISHA JUHUDI ZA KUTAKA MABADILIKO YATAKAYOTUTOA…POSTED BY EDWARD NGOYAI LOWASSA ON 8 DISEMBA 2015
Post a Comment