ICHEKI VIDEO JINSI MAHASIMU WAWILI DAVIDO NA WIZKID WALIVYOTUMBUIZA PAMOJA NA KUMALIZA UGOMVI WAO

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>


Mastaa wa muziki wa Nigeria, Davido na Wizkid wamethibitisha kumaliza kabisa tofauti zozote zilizowahi kuwepo kati yao, baada ya kutumbuiza pamoja jukwaani kwenye show iliyofanyika Alhamisi Dec.3, 2015 jijini Lagos.
Tazama Video Hapa Chini .
Kwa mujibu wa video iliyosambaa ya show hiyo ya club, Davido ndiye aliyekuwa wa kwanza kupanda jukwaani na kuimba wimbo wake wa ‘Dami Duro’, na wakati wimbo unaelekea kuisha ghafla Wizkid alitokea upande wa mashabiki na kuvutwa mkono na Davido kupanda jukwaani, wakaendelea kuimba pamoja nyimbo zote zilizofata bila kushuka.
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top