HIZI NDIZO IDADI YA SHOW YEMI ALADE ALIZOWAHI KUIMBA BURE KABLA HAJAWA STAR

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>

Mafanikio kwenye muziki huwa hayaji kirahisi wala kwa muda mfupi. Mmoja wa waimbaji wakubwa wa Afrika, Yemi Alade kutoka Nigeria amesema kuwa aliwahi kuimba kwenye show za bure zaidi ya 300 kabla hajawa msanii mkubwa.
Yemi aliyejipatia umaarufu mkubwa sehemu nyingi za Afrika kupitia hit song yake ‘Johnny’, amegusia sehemu ya historia yake ya kimuziki katika mahojiano na kituo cha radio Beat Fm cha Nigeria.
“It wasn’t easy in the beginning. I performed at over 300 free shows before I came this big. I didn’t have use to have money for studio sessions. It was that bad.” Alisema Yemi Alade.
Video yake ya ‘Johhny’ hadi sasa ina views zaidi ya milioni 32 ikiwa ni mwaka mmoja na miezi 9 toka ilipowekwa YouTUBE, hii pia inathibitisha ukubwa alionao.
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top