JARIDA maarufu duniani la hali ya uchumi la Forbes limefichua kuwa nchi ya Kenya inaongoza kwa Rushwa miongoni mwa nchi vigogo Duniani.
Taarifa katika jarida hilo ambalo pia hutaja hali za uchumi za watu mbalimbali na mataifa mbalimbali imesema kuwa hali hiyo inaweza kuzorotesha uchumi wa taifa hilo linalokuwa kwa kasi miongoni mwa mataifa maskini duniani
Post a Comment