HII NDIO LIST YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA KWENYE DIRISHA DOGO VPL

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>
Paul Nonga akiwa kwenye ofisi za Yanga kukamilisha uhamisho wake wa kuijunga na klabu hiyo kutoka Mwadui FC
Paul Nonga akiwa kwenye ofisi za Yanga kukamilisha uhamisho wake wa kuijunga na klabu hiyo kutoka Mwadui FC
Usajili wa dirisha dogo umefunga usiku wa December 15 baada ya kufunguliwa November 15 mwaka huu ikiwa ni baada ya michezo tisa ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara lakini ikiwa ni mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo. Timu mbalimbali zimetumia nafasi hiyo kuboresha vikosi vyao huku timu nyingine zikizathika na kwa kuondokewa na wachezaji wao muhimu
Hapa nimeuandalia orodha ya usajili uliofanywa na baadgi ya vilabu vya ligi kuu;
Simba SC
Waliosajiliwa:
Bria Majwega (kutoka Azam FC)
Raphael Paul Kiongera (alikuwa kwa mkopo KCB ya Kenya, amerudi Simba SC)
Dany Lyanga (kutoka FC Lupopo)
Haji Ugando (kutoka Nakuru All Stars)
Novatus Lurunga (kutoka African Spots)
Azam FC
Waliosajiliwa:
Ivo Mapunda (mchezaji huru)
Yanga SC
Waliosajiliwa:
Paul Nonga (kutoka Mwadui FC)
Issoufou Boubacar Garba
Mbeya City
Waliosajiliwa:
Tumba Swed (kutoka Coastal Union)
Abdallah Juma (kutoka Toto Africans)
Deo Julius
Ditram Nchimbi
Ramadhani Chombo (mchezaji huru)
Mtibwa Sugar
Waliosajiliwa:
Kelvin Friday (kutoka Azam-kwa mkopo)
Boniphace Mganga(kutoka Simba-kwa mkopo)
Mgambo Shooting
Waliosajiliwa:
Mudathir Hamis (mchezaji huru)
Nurdnin Mganga (kutoka Mkonge)
Coastal Union
Waliosajiliwa:
Adam Miraji (kutoka Simba-kwa mkopo)
Omary Wayne (kutoka Azam FC-kwa mkopo)
African Sports
Waliosajiliwa:
Wamesajili wachezaji saba (7) kutoka timu mbalimbali za madaraja ya chini za mkoani Tanga
Ndanda FC
Waliosajiliwa
Jackson Mkwera
Bryson Raphael (Kutoka Azam FC-kwa mkopo)
Ramadhani Kiparamoto (kutoka Abajalo FC)
Toto Africans
Waliosajiliwa:
Imejaza nafasi zake kwa kusajili wachezaji saba walioisaidia timu hiyo kupanda ligi kuu lakini baadae ikawaacha ambao ni;
Ladslaus Mbogo, John Bosco, Frank Kimati, Shingwa Musa , Jumanne Ahmed, Maneno Shabani na Yusuf Suleiman
Tanzania Prison
Waliosajiliwa:
Baraka Gamba (kutoka Wenda FC)
Mwadui FC
(Haijaweka wazi wachezaji iliowasajil
Stand United
(Haijaweka wazi wachezaji iliowasajili)
Kagera Sugar
(Haijaweka wazi wachezaji iliowajili)
Wachezaji hawa wanaweza kuwa na msaada kwenye timu zao? Tusubir hadi mwishoni mwa msimu tuone ni wapi timu hizi zitaangukia
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top