HEBU CHEKA NA KANSIIME KIDOGO

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>


Unadhani ni kwanini wanawake wengi huacha kujipenda baada ya kupata watoto? Majukumu yanakuwa mengi zaidi ama?
Nimekutana na video moja ya comedy kutoka +256 ya mtu wetu Kansiime Anne ambapo anaongelea sababu za kwanini wanaume wengi huamua kucheat wake zao na wanawake wengine baada ya kupata watoto… na kwenye kuitazama nimegundua kuwa kumbe warembo wetu wengi huacha kujipenda pale wanapobarikiwa na watoto! Je ni kweli?





FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top