CHELSEA YAMTIMUA MOURINHO

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>
Mo 6
Club ya Chelea imemtimua kocha wake Jose Mourinho ikiwa ni mezi saba tu tangu kocha huyo akiongoze kikosi cha The Blues kutwaa ubingwa wa ligi ya England maarufu kama EPL
Kutokana na kumfukuza kazi na ndio kwanza yupo kwenye mwaka wake wa kwanza wa mkataba wa miaka 4, Chelsea itamlipa kocha huyu kiasi cha pound milioni 40.
Imepita miezi 7 tangu ashinde ubingwa wa ligi ya Uingereza, chanzo kikubwa cha kufukuzwa kazi ni matokeo mabovu ya club yake. Hii ni mara ya kwanza kwa Mourihno kufukuzwa kazi kati ya club zake kubwa alizowai kufundisha.
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top