BREAKING NEWS;KIM KARDASHIAN AMEJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>

STAA wa kipindi cha ‘keeping up with kardashian’ na mke wa rapa mahiri Kanye West,Kim Kardashian amefanikiwa kujifungua mtoto wa pili wa kiume hivi punde.
Taarifa rasmi katika ukurasa wake wa kijamii wa twitter inasema kuwa mama na mtoto wako salama huku wakingoja taratibu nyingine za kitabibu ili waweze kuruhusiwa nyumbani.
Aidha baadhi ya mashabiki wa mwanamitindo huyo nguli Marekani,wamempongeza Kim kwa kufanikiwa kupata mtoto huyo ambaye ataungana na North kuleta furaha katika familia ya West

FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top