Baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kulishukia Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kutokana na kuwepo ongezeko kubwa la maombi ya misamaha ya kodi, BAKWATA chini ya Muft Abubakar Zuber imemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Utawala Makao Makuu kupisha uchunguzi juu ya kadhia ya magari 82.
Kutokana na unyeti wa jambo hilo Muft mkuu wa Tanzania Abubakari Zuber ameunda timu ya kufanya ukaguzi wa hesabu Makao Makuu nchi nzima
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>
Post a Comment