NASH MC KUWACHENGUA WAPENZI WA HIP HOP MJINI PRETORIA AFRIKA YA KUSINI LEO.

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>
Msanii mchenguaji mahiri kwenye medani ya Hip Hop Nash Mc anatarajia kufanya tumbuizo lake huko Pretoria nchini Africa Ya Kusini usiku wa Jumamosi ya  leo tarehe 28 Novemba. Onesho hilo ambalo litafanyika ndani ya Liberty Inn Night kuanzia saa mbili usiku mpaka kuchwee. Nash Mc atasindikizwa na wasanii wengine kadhaa wakiwemo Kwasa Mo, Mc Gala ,Joshure Mc Na wengineo wengi.
                                                                          9th Wonder & Nash Mc

Hili nakuwa ni onesho la pili mfululizo kufanywa na Nash Mc nchini humo , ambapo onesho la kwanza alilifanya mjini Johannesburg .
                                                                          Nash Mc & Skyzoo

Watanzania wote ambao wanaishi Africa Ya Kusini mnaombwa kuhudhuria kwa wingi onesho hili.

Mtanganjia Blog inakutakia kila la heri katika onesho lako

FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top