Msanii mchenguaji mahiri katika medani ya Hip Hop nchini Tanzania amefanikiwa kuwachengua vilivyo mashabiki wake waliojitokeza katika onesho lake lililofanyika mjini Pretoria nchini Afika ya Kusini.
Onesho hilo linakuwa ni la pili kufanywa na Nash Mc ambalo onesho la kwanza lilifanyika mjini Johannesburg .
Nash Mc ameoneshwa upendo wa hali ya juu na jamaa ,marafiki na watanzania wengi waishio nchini Afika ya Kusini kwa kujitokeza kwa wingi katika shows zake mbili alizozifanya nchini humo.
mtanganjia blog
mtanganjia.blogspot.com
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>
Post a Comment