mtanganjia blog
Msanii wa medani ya Hip Hop Chaba ametoa top 5 ya marapa wake wakali anaowakubali muda wote. Caba aliandika haya kwenye ukurasa wake wa facebook
1) Notorious B.I.G na 2 Pac
Nimesema hivyo sababu hiki kiti kinawastahili wote wawili.
2pac;- amefanya Hip hop kutambulika kona nyingi duniani kama utakumbuka na Ana mashairi yenye hisia na yanalenga maisha yaliyotuzunguka katika namna moja au nyingine.
Biggie;- tunapozungumzia kuchana mistari hakuna anamkuta huyu jamaa mpaka kesho, mistari konde kucheza na maneno na midondoko yote Biggie alianzisha, heshima nyingi kwa dingii.

2) Jay Z
Tunapozungumzia moja kati ya matukio makubwa yaliyowahi kutokea katika Hip hop duniani ni pale rap ilipoweza kuwafanya rappers matajiri na wakamiliki miradi mbalimbali, na Mastermind wa hii mambo si mwingine Bali ni Jay Z, ukijumlishia na uwezo wake mkubwa wa kuchana mistari ambao umemweka kwenye game mpaka ss hv.

3) Eminem
Ana Michano ya kutia hata rappers unaowaaminia wakaingia baridi, Ana uwezo wa kukufanya ukacheki movie wakati unamsikiliza hasa anapotoa story, anacheza na maneno mbaya mbovu, tunapozungumzia marapa wazungu huyu ndio kirusi na mbabe wao na wote wanajaribu kurapu kama yeye, kama ni mauzo jamaa kavunja records nyingi kwa heshima ya hip hop.

4) Rakim
Wengi wanaofwatilia hip hop siku hizi hawawezi wakamjua huyu muheshimiwa, ila ndie aliyeingiza style ya kuchana kwa kutulia na biti bila makelele kwa mara ya kwanza kwenye history ya hip hop, kughani mstari ukasikika ni mstari, kabla ya hapo walikuwepo wakina Mc hammer waliokuwa wanabambisha kwa kupiga rap ina hype nouma, ila Rakim alibadilisha Armani nzima ya game.

5) Nas
Wengi wanaweza wakabisha kwa nini sijamweka huyu jamaa kiti kimoja na Jay Z, sababu kimichano hasa wakati wa miaka ya 90 Nas kuna baadhi ya nyimbo Ana mistari noumaa kushinda Jay na ndie aliyekuwa mpinzani mkuu wa Jay, ila Jay alipoweza kulifanya game kuwa biashara alipata nguvu ya pekee na kumpita Nas kimaendeleo ya rap, basi ss Nas yupo kwenye hii nafasi sababu ukimsikiliza unasikiliza chimbo la mistari minono kila mmoja track nzima na pia kipindi hip hop ilikuwa ni kurap kuhusu ghasia na bunduki pia usela sana Nas alikuwa anatengeneza hits zilizomfanya kueleweka sana.

Post a Comment