Mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa katika gari kuelekea katika usiku shoo yake ya All White Ciroc Party iliyofanyika jana usiku kwenye club Guvnor jijin Kampala.
Zari akiwa katika picha ya pamoja na mashabiki zake.
Post a Comment