ALHAMISI YA MAGUFULI YAWASHANGAZA WENGI

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>

Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Pombe Magufuli amekuwa rais ambaye ameteka hisia za watu mbalimbali kutokana na kasi  ya utendaji wake.
Jambo ambalo linawashangaza wengi na kuamua kuibua mijadala katika mitandao ya kijamii ni kutokana na rais huyo kufanya maamuzi nyeti siku ya Alhamisi

Tukianza na kuzaliwa kwake Mh. Magufuli amezaliwa siku ya Alhamis Octoba 1959,


alitangazwa kuwa Mshindi wa kiti cha Urais siku ya Alhamis






kuapishwa, kuteua Mwanasheria Mkuu, kuteua Waziri Mkuu siku ya Alhamis

kuchagua Baraza la Mawaziri siku ya Alhamisi

FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top