
Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Pombe Magufuli amekuwa rais ambaye ameteka hisia za watu mbalimbali kutokana na kasi ya utendaji wake.
Jambo ambalo linawashangaza wengi na kuamua kuibua mijadala katika mitandao ya kijamii ni kutokana na rais huyo kufanya maamuzi nyeti siku ya Alhamisi

alitangazwa kuwa Mshindi wa kiti cha Urais siku ya Alhamis


kuapishwa, kuteua Mwanasheria Mkuu, kuteua Waziri Mkuu siku ya Alhamis

kuchagua Baraza la Mawaziri siku ya Alhamisi
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>
Post a Comment