RATIBA KAMILI YA CLUB WORLD CUP JAPAN 2015 HII HAPA

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>
Hivi sasa mechi ya kwanza kwenye michuano ya club bingwa ya vilabu ngazi ya dunia imeshafanyika na club ya Sanfrecce Hiroshima imeshinda kwa magoli 2-0 dhidi ya Auckland City.
Baada ya mechi hiyo Sanfrecce Hiroshima imefanikiwa kucheza hatua ya pili dhidi ya TP Mazembe siku ya Jumapili.
Sasa hii hapa ndio ratiba kamili ya mechi zote za michuano hii ambayo itaonekana live kwenye king’muzi cha Startimes.
10 Dec Sanfrecce Hiroshima Vs Auckland City Saa 13: 45 World Football*
13 Dec Club America Vs Guangzhou Evergrande Taobao 10:30 World Football*
13 Dec TP Mazembe Vs Sanfrecce Hiroshima 13:30 World Football*
16 Dec Loser 2 Vs Loser 3 10:30 World Football
16 Dec Winner 3 Vs Club Atletico River Plate 13:30 World Football
17 Dec Barcelona Vs Winner 2 13:30 World Football*
17 Dec Loser 5 Vs Loser 6 10:30 World Football*
20 Dec Winner 6 Vs Winner 6 13:30 World Football*

FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top