MENU
  • HOME

MTANGANJIA

Featured
  • Presenting Awesome Blogger Template
  • It's Responsive, SEO Optimized and Awesome
  • Your Featured Post float Here
  • Increase Traffic from Featured Post
  • Download and Make It's Yours!
Home » HABARI » MAGUFULI APIGA KUFULI KIWANDA CHA KENYATTA TANZANIA

MAGUFULI APIGA KUFULI KIWANDA CHA KENYATTA TANZANIA

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>


JINA la Rais Magufuli limeendelea kubeba vichwa vya habari vya redio ,luninga na magazeti mengi ya Afrika mashariki kutokana na jinsi ya maamuzi yake magumu yanavyohatarisha ulaji wa ‘waliokuwa’ wajanja wachache waliokuwa wanaiibia Serikali kimyakimya.
Nchini Kenya moja ya gazeti kubwa la habari za baishara limeandika juu ya mkakati huo wa Magufuli kutishia uhai wa kiwanda cha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ambacho kinajihusisha na uzalishaji wa maziwa kinachoitwa Brookeside Ltd ambacho kimekuwa kikiwanyonya wananchi wa Arusha kwa kununua maziwa kwa bei chee na kwenda  kuyauzia Kenya
Business Today‏@Business_KE
Magufuli locks Uhuru's milk firm out of Tanzania http://goo.gl/fb/R5jgm4 

7:15 AM - 5 Dec 2015
0 retweets0 likes



  • © 2015 Twitter
  •  
  • About
  •  
  • Help
  •  
  • Terms
  •  
  • Privacy
  •  
  • Cookies
  •  
  • Ads info
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>
Filed Under: HABARI on Sunday, 6 December 2015

Post a Comment

CodeNirvana
‹
›
Home
View web version
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top