KIGOGO WA ARHI MOROGORO APEWA SIKU 14 ZA KUJIELEZA KWA NINI ASITIMULIWE KAZI

BOFYA HAPA UJISHINDIE ZAWADI YA GARI KILA SIKU=> CLICK AND WIN A CAR=> Click Here=>

Katibu-Mkuu-Tamisemi-Jumanne-Sagini-akizungumza-na-waandishi-wa-habari-hawapo-pichaniKatibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Jumanne Sagini
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Jumanne Sagini ametoa siku 14 kwa Afisa Ardhi, Mhandisi wa Majengo na Afisa Mipango Miji Manispaa ya Morogoro kuandika maelezo ya kwanini wasifukuzwe kazi kutokana na kufanya kazi chini ya kiwango na kukiuka maadili ya utumishi wa umma
tmp_7020-12346358_999261953476355_8852437216144711905_n96997047Agizo hilo limekuja kufuatia watendaji hao wa serikali kutumia vibaya mamlaka waliyopewa na serikali ikiwemo kuruhusu ujenzi wa hoteli ya Flomi iliyopo eneo la Msamvu mjini Morogoro, kujengwa katika eneo ambalo wanajua limepita bomba la mafuta la TAZAMA.
Pia kushindwa kuzuia ujenzi wa holela katika maeneo yasiyo rasmi pamoja na kuwepo kwa malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya ofisi hizo.
FUNGUA HAPA KUSHINDA ZAWADI KEMKEM=>CLICK HERE TO WIN => Click Here=>

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright MTANGANJIA Published.. Blogger Templates
Back To Top