
Jokate Mwegelo ameongeza safu za mastaa wa kitanzania ambao wana followers wengi zaidi katika mtandao wa Instagram

Baada ya Diamond Platnums , Wema Sepetu na Millard Ayo Jokate anakuwa Mtanzania wa nne kuwa na followers million moja

Wema Sepetu ,Diamond & Millard Ayo
Post a Comment