

Kwa mujibu wa video iliyosambaa ya show hiyo ya club, Davido ndiye aliyekuwa wa kwanza kupanda jukwaani na kuimba wimbo wake wa ‘Dami Duro’, na wakati wimbo unaelekea kuisha ghafla Wizkid alitokea upande wa mashabiki na kuvutwa mkono na Davido kupanda jukwaani, wakaendelea kuimba pamoja nyimbo zote zilizofata bila kushuka.
Post a Comment