
Rais Dk. John Magufuli.
Magufuli: Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri watakapoteuliwa waende semina elezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na semina elekezi na fedha tutaelekeza sehemu nyingine kama ni madawati au kwenye elimu bure.
Ofisi ya Rais, Tamesemi utumishi na utawala bora, Joji Simbachawene na Kairuki, Naibu waziri Jaffo Selemani Saidi
Ofisi ya makamu wa Rais, Muungano naaMazingira: Makamba, naibu Luhaga J. Mpina
Ajira, walemavu: Jenista Mhagama, Naibu nimemtua mbunge, Pos Abdallah ambae ni mhadhiri Dodoma
Ulemavu: Antoni Mavunde
Kilimo, mifugo na uvuvi: WAziri, Mwigulu Lameck Nchemba, Wiliam Nashe naibu
Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano: Waziri bado sijamtafuta, naendelea kumfikiria, Naibu waziri Amandus Ngonyani.
Fedha na mipango: Waziri bado, naibu Dkt Ashanti Kijachi
Nishati na madini: Waziri ni Prof Muhongo, naibu Dkt Kalemani
Katiba na sheria: Waziri Dkt Mwakyembe
Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki: Augustino Mahiga nimemteua kuwa mbunge na waziri, Naibu Waziri ni Dr Suzan Alphons Kolimba
Ulinzi na jeshi la kujenga taifa: Waaziri Dr. Hussein Mwinyi
Wizara ya mambo ya ndani waziri ni Charles Kitwanga
Ardhi na maendeleo ya makazi: Waziri ni Wiliam Lukuvi, Naibu Angelina Mabula
Maliasili na Utalii: Waziri bado, naibu waziri ni Injinia Ramo Makani
Viwanda na biashara: Waziri Charles Mwijage
Elimu, Sayansi Teknolojia na ufundi: Waziri Bado hajapatikana lakini Naibu ni Stella Manyanya
Wizara ya Afya maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto: Ummy Mwalimu, Naibu ni Kingwangala
Habari, utamaduni, wasanii na michezo: Nape Nnauye, Naibu waziri Anna James Wambura
Wizara ya maji na umwagiliaji: Makame Mbarawa, Naibu ni Isack Kamwene
TAZAMA VIDEO HAPA
Post a Comment